iqna

IQNA

Mbinu ya Elimu ya Manabii
Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa / 14
TEHRAN (IQNA) – Mbinu za kielimu alizotumia Nabii Musa (AS), hususan juhudi zake za kujenga matumaini kwa watu, ni mwanga wa nuru na mwongozo kwa wote.
Habari ID: 3477302    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/18

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa / 13
TEHRAN (IQNA) – Hoja inayojumuisha kutoa hoja za kimantiki na zenye busara ni miongoni mwa mbinu za kielimu zenye nguvu na zenye ufanisi zaidi zilizoletwa kwa mara ya kwanza na manabii wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477289    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/16

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim / 12
TEHRAN (IQNA) – Nabii Ibrahim (AS), kama mjumbe wa Mwenyezi Mungu, alitumia njia maalum ya kielimu ambayo imejikita katika kutenda dhidi ya tabia chafu ambazo zimekuwa mazoea kwa baadhi ya watu.
Habari ID: 3477263    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/10

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim / 11
TEHRAN (IQNA) – Kuanzia siku mtu anazaliwa, anaanza kufanya mambo na mwenzake, ili kujua ni kitu gani cha kuchezea, ni vazi gani, lipi … ni bora zaidi.
Habari ID: 3477238    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/04

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim / 10
TEHRAN (IQNA) – Katika kuchunguza vitabu vilivyoandikwa kuhusu mbinu na kanuni za elimu, tunakumbana na kiasi kikubwa cha mbinu za elimu na katika mbinu zote hizo, majaribio na mitihani ni njia muhimu kwa elimu.
Habari ID: 3477226    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/02

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim /4
Kuna vipengele vinavyotofautisha njia za elimu za mitume wa Mwenyezi Mungu. Kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu, Nabii Ibrahim (AS) alifanya jitihada nyingi za kubadilisha baadhi ya tabia zisizofaa za watu wake na kuzibadilisha na kuwa na tabia nzuri na njia aliyotumia inavutia.
Habari ID: 3477132    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/11

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim / 3
Moja ya vipengele vikuu vya elimu ni familia na Nabii Ibrahim (AS) aliiwekea mkazo mkubwa katika kuwasomesha watoto wake na watu wake.
Habari ID: 3477114    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/07

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim/2
TEHRAN (IQNA) – Ushauri au mashauriano ni njia mojawapo ya kuheshimu upande mwingine na hili linaweza kuonekana katika njia ya elimu ya Nabii Ibrahim (AS), hasa kuhusu mwanawe.
Habari ID: 3477059    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/28