IQNA

Algeria yaanzisha msafara wa kitaifa wa kisomo cha Qur’an Tukufu

IQNA – Mpango wa kitaifa wa usomaji wa Qur’ani Tukufu umeanzishwa rasmi nchini Algeria, ukilenga kusambaza shughuli za Qur’ani katika misikiti mbalimbali ya Mkoa wa Mascara.
Mji wa Karasu nchini Uturuki wawaenzi wasichana 34 waliohifadhi Qur’an Tukufu
IQNA – Hafla maalum imefanyika katika mji wa Karasu, ulioko kaskazini magharibi mwa Uturuki katika mkoa wa Sakarya, kuwaenzi wasichana 34 waliokamilisha kuhifadhi Qur’ani yote kwa moyo.
2025 Jul 14 , 17:28
Kuhifadhi Qur’ani kumeleta maana na utulivu maishani, asema Mama Muislamu wa Iran
IQNA – Zohreh Qorbani, mama mchanga kutoka Iran, asema kuwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kumemletea mpangilio, utulivu wa moyo, na uwazi wa kiroho katika maisha yake ya kila siku licha ya changamoto anazokumbana nazo.
2025 Jul 13 , 15:30
Karbala yaandaa Mashindano ya Usomaji wa Qur'ani kwa Watoto
IQNA – Mashindano ya usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa tarteel kwa watoto yamefanyika mjini Karbala, yakiandaliwa na Jumuiya ya Sayansi za Qur’ani ya Haram ya Hazrat Abbas (AS).
2025 Jul 13 , 15:01
Maktaba ya Msikiti wa Mtume yatoa huduma kwa watafiti na wageni
IQNA – Maktaba ya Msikiti wa Mtume au Al Masjid An Nabawi mjini Madina inafanya kazi kama taasisi ya umma inayotoa huduma mbalimbali kwa watafiti na wageni wanaovutiwa na turathi za Kiislamu.
2025 Jul 12 , 21:47
Ustadh Abolqasemi asoma Aya za Surah Al-Imran katika Khitma ya Mashujaa wa Iran
IQNA – Qari maarufu wa Iran, Ustadh Ahmad Abolqsemi, alisoma kwa umahiri aya za Qur'ani Tukufu za 138 hadi 150 za Surah Al-Imran katika hafla maalum iliyofanyika Tehran mnamo Julai 10, 2025, kwa ajili ya Khitma ya mashahidi waliouawa katika uvamizi wa hivi karibuni wa siku 12 wa pamoja wa Marekani na Israel dhidi ya Iran.
2025 Jul 11 , 10:50
Mikusanyiko 114 ya Khitma ya Qur'ani imeandaliwa Iran kwa ajili ya kuwaenzi “Mashahidi wa Nguvu”
IQNA – Jumuiya ya Qur'ani ya Iran imepanga kuandaa mikusanyiko 114 ya usomaji wa Qur'ani katika maeneo mbalimbali ya nchi, kwa ajili ya kuwaenzi mashahidi wa mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2025 Jul 08 , 21:01
Wahifadhi wawili wa Qur’ani kuwakilisha Iran katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Saudia
IQNA – Iran imetangaza majina ya wawakilishi wake katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yatakayoandaliwa nchini Saudi Arabia.
2025 Jul 03 , 22:35
Mashindano ya Qur’ani nchini Slovenia yavutia washiriki zaidi ya 1,000
IQNA – Toleo la tisa la mashindano ya "Kizazi cha Qur’ani" limehitimishwa mjini Ljubljana, likiwa limewakutanisha zaidi ya washiriki elfu moja kutoka maeneo mbalimbali ya Slovenia.
2025 Jun 30 , 10:51
Wanafunzi na Walimu wa Qur’an Waheshimiwa Nchini Qatar
IQNA – Hafla ya kila mwaka ya Idara ya Qur’an Tukufu na Sayansi Zake kwa ajili ya kuwaheshimu wanafunzi wa Qur’an imefanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
2025 Jun 29 , 19:00
Mashindano ya Qur'ani ya Mauritania yamalizika  
IQNA – Toleo la 22 la mashindano ya kitaifa ya Qur'ani nchini Mauritania lilihitimishwa kwa hafla wikendi hii.
2025 Jan 07 , 22:37
Wanafunzi wa Algeria watatumia likizo za majira ya baridi kuhifadhi Qur'ani
IQNA - Idara kadhaa za wakfu na masuala ya dini nchini Algeria zinafanya kazi ya kufungua tena shule za Qur'ani na Maktab (vituo vya jadi vya kusoma Qur’ani) wakati wa likizo za majira ya baridi ili kuruhusu wanafunzi kutumia muda huu kuhifadhi Qur'ani.
2025 Jan 06 , 20:39
Marufuku ya matangazo ya kibiashara kwenye Idhaa ya Qur'ani Misri yaungwa mkono
IQNA - Marufuku ya hivi karibuni ya matangazo ya kibiashara kwenye Idhaa ya Qur'ani ya Misri imepokelewa kwa wingi na wataalamu na wanaharakati wa mtandaoni.
2025 Jan 06 , 20:24