IQNA - Makumi ya maelfu ya wafanyaziara katika Haram (kaburi) ya Imam Ridha (AS) walihudhuria mjumuko adhimu wa Qur'ani Septemba 12, 2024, iliyofanyika kuadhimisha kuanza kwa wiki ya Umoja wa Kiislamu sambamba na kutangaza mshikamano na wanacahi wanaodhulumiwa Palestina.