Habari Maalumu
Mtazamo
Siku kama ya leo miaka 34 iliyopita, sawa na tarehe 14 Khordad mwaka 1368 kwa mujibu wa kalenda ya Hijria Shamsia sawa na mwezi Juni 1989, Imam Ruhullah...
04 Jun 2023, 18:12
Mapambano
Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimethibitishwa kuwa, wanajeshi watatu utawala huo wameangamizwa wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la risasi...
05 Jun 2023, 14:46
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amemtaja hayati Imam Ruhullah Khomeini (RA) kuwa ni miongoni mwa viongozi vinara wa historia.
04 Jun 2023, 13:31
Uislamu Brazil
Waziri wa Utalii wa Brazil Daniela Carneiro ametembelea maonyesho ya Qur'ani Tukufu yanayoendelea katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
04 Jun 2023, 17:56
Qiraa ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Nureddin Ibrahim ni kijana wa Misri ambaye anajulikana kwa uwezo wake wa ajabu kuiga mitindo ya usomaji wa Qur’ani ya maqarii maarufu duniani.
04 Jun 2023, 18:20
TEHRAN (IQNA) Hisham Barzeq ni Mpalestina mwenye umri wa miaka 68 ambaye ana chumba kidogo katika moja ya misikiti huko Gaza.
04 Jun 2023, 14:46
Afisa wa HIzbullah
TEHRAN (IQNA) – Afisa wa vuguvugu la muqawama la HIzbullah la Lebanon alisema Hijab inawapa wanawake wa Kiislamu utambulisho na mamlaka.
03 Jun 2023, 14:40
Historia na Turathi
TEHRAN (IQNA)- Ujenzi wa Mnara wa ukumbusho wa admeri maarufu Muislamu wa karne ya 15 miladia, Zheng He, ulizinduliwa Alhamisi katika mkoa wa Dhofar nchini...
03 Jun 2023, 13:49
Waislamu Ethiopia
TEHRAN (IQNA)- Mvutano unaendelea nchini Ethiopia kuhusu mpango tata wa kubomoa misikiti nchini humo, huku watu watatu wakiuawa katika mapigano ya hivi...
03 Jun 2023, 13:05
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri amewatunuku washindi wa Mashindano ya Kila Mwaka ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu...
03 Jun 2023, 12:57
Imam Khomeini
TEHRAN (IQNA)- Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina amesema mtazamo wa kina wa Imam Khomeini (AS) kuhusu suala la Palestina...
03 Jun 2023, 11:20
Qur’ani Tukufu Inasemaje/53
TEHRAN (IQNA) – Tunakabiliana na kushindwa na kupata mafanikio katika maisha lakini ni ya muda mfupi. Kwa hiyo hatupaswi kukasirika wakati kuna kushindwa...
02 Jun 2023, 16:53
Maadili katika Qur'ani /2
TEHRAN (IQNA) – Katika maingiliano ya binadamu, kuheshimiana ni miongoni mwa kanuni muhimu zinazosaidia kukuza urafiki na mapenzi miongoni mwao.
02 Jun 2023, 16:51
Hija 1444
TEHRAN (IQNA) – Mazoezi ya usalama wa mtandao wa intaneti kwa ajili ya ibada ya Hija ya mwezi ujao yamefanyika nchini Saudi Arabia.
02 Jun 2023, 16:48
Mazungumzo
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Hamburg nchini Ujerumani kimeandaa mazungumzo ya dini mbalimbali siku ya Alhamisi.
02 Jun 2023, 16:45
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Utawala wa Israel umeripotiwa kuteka eneo la kihistoria la Wapalestina la Nebi Samuel, lililoko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto unaoukalia...
02 Jun 2023, 16:38