IQNA- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeapa kuendeleza mashambulizi yake dhidi ya utawala haramu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea watu wa Ukanda wa Gaza, ambao wanaendelea kuuawa kikaktili katika mauaji ya kimbari ya Israel, ikisisitiza kwamba ukatili wa hivi karibuni wa utawala huo ulioua watu kadhaa nchini Lebanon utaimarisha azma yake ya kuendeleza njia ya mapambano na muqawama.
19:17 , 2024 Sep 18