IQNA

Kumbukumbu ya Qari Mahmud Khalil al‑Hussary katika Televisheni ya Misri

Kumbukumbu ya Qari Mahmud Khalil al‑Hussary katika Televisheni ya Misri

IQNA – Kipindi cha televisheni Dawlet El Telawa, mashindano maalum ya vipaji vya usomaji wa Qur’ani nchini Misri, kimemkumbuka Qari maarufu Sheikh Mahmud Khalil al‑Hussary.
15:45 , 2025 Nov 16
Kikao cha Sharjah kuhusu maandishi ya Qur'ani Tukufu katika dunia ya kidijitali

Kikao cha Sharjah kuhusu maandishi ya Qur'ani Tukufu katika dunia ya kidijitali

IQNA – Je, ni vipi maandishi ya kidini kama Qur’ani Tukufu  yanaweza kuthibitishwa kuwa sahihi na kusomwa kwa kutumia akili mnemba (AI) ya kisasa?
15:37 , 2025 Nov 16
Mkutano wa Tabriz–Vienna kujadili mustakabali wa dunia na changamoto mpya za falsafa

Mkutano wa Tabriz–Vienna kujadili mustakabali wa dunia na changamoto mpya za falsafa

IQNA – Mkutano wa kimataifa kuhusu mustakabali wa dunia na masuala mapya ya kifalsafa utafanyika mtandaoni tarehe 20 Novemba, sambamba na Siku ya Falsafa Duniani.
15:18 , 2025 Nov 16
Vehbi Ismail Haki; Mwanzo wa Uchapishaji wa Maarifa ya Qur’ani kwa Kialbania

Vehbi Ismail Haki; Mwanzo wa Uchapishaji wa Maarifa ya Qur’ani kwa Kialbania

IQNA-Vehbi Ismail Haki (1919–2008) alikuwa mwandishi, imam na msomi mashuhuri kutoka Albania aliyechangia pakubwa kusambaza utamaduni wa Kiislamu na maarifa ya Qur’ani kwa watu wa taifa lake kupitia maandiko kwa Kiarabu, Kiingereza na Kialbania. Alizaliwa Shkodra, mji wa kaskazini wenye historia ndefu ya elimu ya Kiislamu tangu enzi za Waothmani.
15:06 , 2025 Nov 16
Chuo Kikuu cha Columbia chalaani kuhujumiwa mwanafunzi Muislamu

Chuo Kikuu cha Columbia chalaani kuhujumiwa mwanafunzi Muislamu

IQNA – Baada ya tukio la uhalifu wa chuki lililoripotiwa ambapo dada Muislamu alivamiwa na kufuatwa karibu na Chuo Kikuu cha Columbia kwa sababu ya kuvaa niqab, taasisi hiyo imetoa tamko la kulaani shambulio hilo hadharani.
14:47 , 2025 Nov 16
Kuandaa Mazingira ya Ndoa kwa Vijana; Mfano wa Ushirikiano Katika Qur’ani

Kuandaa Mazingira ya Ndoa kwa Vijana; Mfano wa Ushirikiano Katika Qur’ani

IQNA – Ushirikiano na watu binafsi pamoja na taasisi zinazojitahidi kuandaa mazingira ya ndoa na kuundwa kwa familia kwa vijana ni miongoni mwa mifano dhahiri ya ushirikiano wa kijamii.
21:00 , 2025 Nov 15
Dunia yakemea shambulio la Waisraeli dhidi ya msikiti wa Palestina

Dunia yakemea shambulio la Waisraeli dhidi ya msikiti wa Palestina

IQNA – Shambulio lililofanywa na kundi la walowezi haramu wa Kizayuni dhidi ya msikiti katika eneo linalokaliwa kwa mabavu na Israel Ukingo wa Magharibi limeibua ghadhabu na ukemeaji kutoka pande mbalimbali duniani.
11:34 , 2025 Nov 15
Rais wa Iran: Mashindano ya Qur’ani ni Jukwaa la Kukuza Ushirikiano

Rais wa Iran: Mashindano ya Qur’ani ni Jukwaa la Kukuza Ushirikiano

IQNA – Katika ujumbe wake kwa washiriki wa mashindano ya 17 ya kitaifa ya Qur’ani “Mudha Mattan”, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dkt. Masoud Pezeshkian, ameyataja mashindano hayo kuwa ni uwanja wa kukuza ushirikiano, huruma, na kuendeleza stadi mbalimbali za kufanya kazi kwa pamoja.
11:12 , 2025 Nov 15
Mwanazuoni wa Kiislamu: Akili Mnemba haiwezi kuchukua nafasi ya akili ya mwanadamu wala nafsi ya roho

Mwanazuoni wa Kiislamu: Akili Mnemba haiwezi kuchukua nafasi ya akili ya mwanadamu wala nafsi ya roho

IQNA – Mwanazuoni mwandamizi kutoka Iran amesema kuwa Akili Mnemba (AI) au akili ya kutengenezwa kimitambo haiwezi kufikia hadhi ya akili ya mwanadamu wala kuelewa upeo wa kiroho wa maisha ya binadamu.
10:32 , 2025 Nov 15
Ayatullah Makarim Shirazi atoa wito wa matumizi ya Akili Mnemba (AI) kwa msingi wa Kiislamu

Ayatullah Makarim Shirazi atoa wito wa matumizi ya Akili Mnemba (AI) kwa msingi wa Kiislamu

IQNA – Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Iran amesisitiza kuwa akili mnemba (AI) inapaswa kutumika kwa lengo la kuendeleza Qur’ani Tukufu, akibainisha kuwa jukumu hilo ni huduma muhimu ya kielimu kwa Uislamu.
08:16 , 2025 Nov 15
Wavamizi wa Kizayunii Waharibu Msikiti, Wavunjia Heshima Qur’ani Ukingo wa Magharibi

Wavamizi wa Kizayunii Waharibu Msikiti, Wavunjia Heshima Qur’ani Ukingo wa Magharibi

IQNA – Wavamizi wa Kizayuni wasiokuwa halali waliharibu msikiti katika mji wa Deir Istiya, Ukingo wa Magharibi, usiku wa Alhamisi, wakichoma sehemu za ndani na kuharibu nakala kadhaa za Qur’ani Tukufu katika shambulio la dharau lililoambatana na maandiko ya vitisho.
20:26 , 2025 Nov 14
Mwanazuoni: Qur’ani Tukufu Ni Ramani ya Maisha Mema

Mwanazuoni: Qur’ani Tukufu Ni Ramani ya Maisha Mema

IQNA – Qur’an Tukufu ni ramani ya kuishi maisha mema, amesema mwanazuoni wa Kiislamu nchini Iran, akiongeza kuwa wale wanaoshikamana zaidi na Qur’ani huishi maisha ya heri na ya uadilifu yanayopendeza kwa Mwenyezi Mungu.
20:14 , 2025 Nov 14
Qatar yafungua Maonyesho ya Qur’ani Sambamba na Mashindano ya Kieneo

Qatar yafungua Maonyesho ya Qur’ani Sambamba na Mashindano ya Kieneo

IQNA – Wizara ya Awqaf na Mambo ya Kiislamu ya Qatar imezindua maonyesho ya Qur’an sambamba na toleo la 30 la Mashindano ya Qur’an ya Sheikh Jassim bin Mohammed Al Thani mjini Doha.
20:02 , 2025 Nov 14
Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an kwa Wanafunzi Waislamu: Viongozi na Kamati Tendaji Wateuliwa

Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an kwa Wanafunzi Waislamu: Viongozi na Kamati Tendaji Wateuliwa

IQNA – Mwenyekiti, katibu na wajumbe wa kamati tendaji ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’an kwa Wanafunzi Waislamu wametambulishwa rasmi.
19:33 , 2025 Nov 14
Tarouti: Sauti ya Sheikh Sha’sha’i iliwafanya wasikilizaji wahisi Utukufu wa Qur’ani

Tarouti: Sauti ya Sheikh Sha’sha’i iliwafanya wasikilizaji wahisi Utukufu wa Qur’ani

IQNA – Qari mashuhuri wa Misri, Abdul Fattah Tarouti, amemuelezea marehemu Sheikh Abdul Fattah Sha’sha’i kuwa ni msomaji wa Qur’an aliyebeba sauti ya kipekee na ya kifahari, iliyodhihirisha ukubwa wa Qur’an na kuasisi mtindo wa kipekee wa qira’a.
18:49 , 2025 Nov 14
2