iqna

IQNA

Yasser Al-Dosri
Qiraa ya Qur'ani
Klipu ya qiraa ya usomaji mzuri na wenye mvuto wa Qur'ani Tukufu Yasser Al-Dosri , mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Saudi Arabia na mmoja wa maimamu wa Masjid al-Haram (Msikiti Mtakatifu wa Makka) katika sala ya Alfajiri katika msikiti huu mtukufu, imevutia hisia za watumiaji wengi wa mtandao.
Habari ID: 3477090    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03