Mashindano hayo yanayojulikana kama Majlis Tilawah dan Hafazan Al-Quran (MTHQ), yataendelea kwa muda wa siku tatu..
Mashindano hayo yana kategoria kadhaa, na yalianza na kitengo cha vijana kwa kushirikisha washiriki tisa na kufuatiwa na kitengo cha watu wazima. Zaidi ya hayo, mashindano ya kuhifadhi Qur'ani yatafanyika Aprili 25, yakiwa na washiriki 30 katika ngazi tatu. Sherehe ya kufunga na usambazaji wa zawadi, inatarajiwa kuhudhuriwa na Gavana wa Sabah Tun Juhar Mahiruddin na itafanyika Aprili 26
3488059.