Aidha sherehe ya kuanza fainali hiyo imeudhuriwa pia na Katibu wa Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni Iran Hujjatul Islam wal Muslimin Saeed Reza Ameli.
Mashindano ya mwaka huu ni ya kipekee kwani kutokana na janga la COVID-19 au corona, yanafanyika kwa njia ya intaneti.