IQNA

Kongamano la Kimataifa la Kuwaenzi Wanawake Wanaoeneza Utamaduni wa Imam Ridha AS

Kongamano la Kimataifa la Kuwaenzi Wanawake Wanaoenza Utamaduni wa Imam Ridha AS limefanyika katika fremu ya Tamasha la 13 la Kimataifa la Imam Ridha AS katika Shirika la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu ICRO mjini Tehran, Jumapili Agosti 23.

Kishikizo: imam ridha as