iqna

IQNA

nigeria
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa shindano la 36 la kitaifa la kuhifadhi Qur'ani nchini Nigeria walitunukiwa zawadi katika hafla ya kufunga Jumamosi.
Habari ID: 3475081    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/27

TEHRAN (IQNA)- Babagana Zulum Gavana wa Jimbo la Borno, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria hivi karibuni alionya kuhusu hatari ya kuenea satwa ya kundi la kigaidi la Kiwahhabi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).
Habari ID: 3474982    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27

TEHRAN (IQNA)- Katiba ya Nigeria inaruhusu wanawake wa Kiislamu kuvaa Hijabu kulingana na mafundisho ya imani yao, waziri wa elimu wa nchi hiyo ya Kiafrika alisema.
Habari ID: 3474903    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/07

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewataka walimwengu kujitokeza na kukabiliana na hujuma na mashambulio ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen.
Habari ID: 3474896    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/06

TEHRAN (IQNA)- Maafisa tisa wakufunzi wa polisi Nigeria ambao ni wahadhiri wamerejea baada ya kutoweka kufuatia hujuma dhidi ya kambi yao iliyotekelezwa na kundi la igaidi linalofungamana na Daesh au ISIS.
Habari ID: 3474810    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni maarufu wa Nigeria na muasisi wa Taasisi ya Darul Hadith ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 79.
Habari ID: 3474779    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 25 wameuawa kufuatia hujuma ya magaidi wa kundi Boko Haram wanaofungamana na kundi la kigaidi la ISIS Tawi la Afrika Magharibi (ISWAP) katika hujuma dhidi ya kijiji kimoja katika mji wa Askira Uba katika jimbo la Borno Kaskazini mwa Nigeria.
Habari ID: 3474700    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/20

TEHRAN (IQNA)-Waumini tisa wameuawa katika hujuma ya magaidi dhidi ya msikiti nchini Nigeria katika jimbo la Niger.
Habari ID: 3474662    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/10

TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Nigeria wamemtaka wazili wa elimu nchini humo Adamu Adamu aingilie kati kuzuia kusumbuliwa wasicana Waislamu wanaochagua kuvaa Hijabu shuleni.
Habari ID: 3474646    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/06

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky amezungumza kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa sita wa kumbukumbu ya mauaji ya halaiki yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa harakati hiyo.
Habari ID: 3474642    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/05

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wameua askari saba wa Jeshi la Nigeria kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474639    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04

TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Kiislamu katika jimbo la Oyo nchini Nigeria wameapa kupigania haki za wasichana Waislamu kuvaa Hijabu.
Habari ID: 3474591    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23

TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa polisi nchini Nigeria wametangaza habari ya kuuawa Waislamu 18 waliokuwa wanasali Msikitini huko kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474476    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/26

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Nigeria limethibitisha habari ya kuangamizwa kinara wa genge la kigaidi la Daeshi au ISIS kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474427    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

TEHRAN (IQNA)-Waislamu katika mji wa Abuja, Nigeria wamepokea chanjo ya COVID-19 nje ya msikiti baada ya Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3474406    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/10

TEHRAN (IQNA)-Tume ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) imelaani vikali hujuma ya askari wa Nigeria dhidi ya matembezi ya amani ya Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS Jumanne katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja.
Habari ID: 3474363    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/30

Polisi Nigeria jana Jumanne iliwashambulia waombolezaji waliokuwa katika marasimu ya siku ya arobaini ya mjukuu wa Mtume wa Uislamu, Imam Hussein AS na kuuwa shahidi Waislamu wasiopungua wanane.
Habari ID: 3474361    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29

Katika mahojiano ya kwanza tokea aachiliwe huru
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky amesema waliowengi nchini humo wataunga mkono mfumo wa utawala wa Kiislamu iwapo watapewa hiari ya kuchagua.
Habari ID: 3474360    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe, Malama Zeenah Ibrahim, wanaonekana kuwa chini ya aina fulani ya kizuizi cha nyumbani.
Habari ID: 3474234    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/28

TEHRAN (IQNA)- Askari polisi nchini Nigeria Alkhamisi waliwashambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein (AS) na kuua watu watatu na kujeruhi wengine wasiopungua 12.
Habari ID: 3474211    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/21