iqna

IQNA

Kimbunga cha Al-Aqsa
Kadhia ya Palestina
IQNA- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa: "Kusimama kidete na kishujaa wanamuqawama au wanamapamano wa Wapalestina wa Gaza, ni matukio ambayo yanakaribiana na muujiza, na yote haya yametokana na utamaduni wa Qurani na dalili zake tukufu kwa ulimwengu wote."
Habari ID: 3478513    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/14

Watetezi wa Palestina
IQNA - Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza uungaji mkono wa Iran kwa harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu na kusema uungaji mkono huo unafanyika bila ya kutarajia chochote mkabala wa uungaji mkono huo.
Habari ID: 3478295    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03

Watetezi wa Palestina
IQNA - Maandamano duniani kote kupinga na kulaania mauaji ya kimbari yanayotekeleza na utawala haramu wa Israel kwa himaya ya Marekani dhidi ya Wapalestina huko Gaza yanaendelea duniani kote.
Habari ID: 3478018    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema machaguo yote dhidi ya utawala haramu wa Israel yapo mezani, huku akiuasa utawala huo wa Kizayuni usitishe mara moja uvamizi na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477836    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/03

Kimbunga cha Al-Aqsa
TEHRAN (IQNA) - Akizungumzia mafanikio ya operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa , Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema: "Siku ya (Kimbunga) Tufani ya Al-Aqsa" inapaswa kuzingatiwa kuwa Siku ya Al Baraka kwa watu wa Palestina na Siku ya Nakba kwa utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3477794    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/27

Waislamu Uingereza
LONDON (IQNA) - Jumuiya ya Waislamu wa Uingereza (MAB) ilitoa wito kwa misikiti ya Uingereza na vituo vya Kiislamu kususia Chama cha Leba baada ya kiongozi wake, Keir Starmer, kulaumiwa kwa kutoa matamshi ya kupotosha kuhusu ziara ya hivi majuzi katika msikiti huko Wales.
Habari ID: 3477792    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/26

Kimbunga cha Al Aqsa
AL-QUDS (IQNA) - Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema hadi sasa takriban watoto 2,360 walikuwa wameuawa katika mashambulizi ya anga ya  utawala wa Israel huko Gaza, na kubainisha masikitiko yake kuhusu idadi "ya kushtua" ya watoto waliojeruhiwa katika eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3477791    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/26

Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu (WFPIST) ametoa wito kwa maafisa wa nchi za Kiislamu kuiunga mkono Palestina kwa vitendo badala ya kutoa matamshi tu ya kulaani.
Habari ID: 3477789    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/26

Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Licha ya uungaji mkono wa watu waovu wa dunia na ushiriki wa Wamarekani katika uhalifu wa Wazayuni, ukatili na jinai hizi hatimaye hazitafua dafu, na katika kadhia hii na nyinginezo zijazo, ushindi utakuwa upande wa taifa la Palestina.
Habari ID: 3477788    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/25

Taarifa Muhimu
TEHRAN (IQNA) –Wahadhiri 9,200 wa vyuo vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamelaani vikali ukatili wa utawala dhalimu wa Israel katika eneo la Palestina lililozingirwa la Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477783    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24

TEHRAN (IQNA) - Mashambulizi ya usiku ya wanajeshi wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamegharimu maisha ya watu 46 licha ya Hamas kuwachilia mateka wawili wa Kimarekani siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3477773    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/22

Baada ya operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ukanda wa Gaza, unaweza kuona usomaji wa aya ya 5 ya Sura Israa kwa sauti nzuri ya Majid Ananpour, msomaji wa kimataifa na mshairi wa nchi Tafsiri ya aya Isra.
Habari ID: 3477770    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/22

Katika siku ya 14 ya uvamizi wa Israeli dhidi ya Ghaza, jeshi linaloikalia kwa mabavu la utawala wa Kizayuni liliendelea kushambulia kwa mabomu maeneo ya makazi ya watu, jambo ambalo lilipelekea makumi ya watu kuuawa shahidi, Kuendelea kushambuliwa kwa mabomu huko Gaza kumesababisha mashahidi 3,785 na zaidi ya 12,000 kujeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto na wanawake.
Habari ID: 3477767    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/21

Mwanamke wa Kipalestina aliyejeruhiwa ameokolewa kutokana na vifusi vya mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israeli kwenye nyumba za Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Gaza unaokaliwa kwa Mabavu akiwa ameshikilia Qur’ani Tukufu mikononi mwake na kuishikiria kwa nguvu bila kuiachia
Habari ID: 3477766    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/21

TEHRAN (IQNA) - Mwakilishi wa harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina mjini Tehran alitoa wito kwa ulimwengu wa Kiislamu kukusanya nguvu zake zote ili kukabiliana na utawala wa Israel.
Habari ID: 3477763    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/19

AL-QUDS (IQNA) - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamasi Ismail Haniyeh alielezea Operesheni ya Kimbunga cha ya Al-Aqsa iliyoanzishwa na vikosi vya upinzani huko Gaza dhidi ya utawala wa Kizayuni kama kushindwa kwa kimkakati kwa Maadui.
Habari ID: 3477748    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kusisitiza kuwa, Palestina na Ghaza ni dhihirisho la nguvu za Uislamu.
Habari ID: 3477740    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/15

TEHRAN (IQNA) - Nchi kadhaa duniani zilikaribisha maelfu ya watu siku ya Ijumaa ambao walionyesha uungaji mkono wao kwa Wapalestina kutokana na mashambulizi ya kikatili ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza ulikaliwa kwa Mabavu.
Habari ID: 3477729    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/14

WASHINGTON, DC (IQNA) - Kundi la kutetea haki za Waislamu linatazamiwa kuandaa mkutano na waandishi wa habari kuhusu mzozo unaoendelea huko Gaza na uvamizi usiokoma wa Israel huku wakihamasisha ukaliaji wa ardhi ya Palestina.
Habari ID: 3477721    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/12

GAZA (IQNA) - Makabiliano kati ya muqawama wa Palestina na wanajeshi wa Israel yanaendelea kufuatia uzinduzi wa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa siku ya  Jumamosi kutoka Gaza
Habari ID: 3477715    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/11