"Wataelekeana wakiulizana. Waseme: Tulikuwa zamani pamoja na ahali zetu tukiogopa; Basi Mwenyezi Mungu akatufanyia hisani na akatulinda na adhabu ya upepo wa Moto."