Sherehe za mwaka mpya miladia nchi mbali mbali duniani
Sherehe za kuukaribisha mwaka mpya 2019 Miladia zimefanyika kuanzia Jumatatu usiku hadi wakati wa kuingia mwaka mpya katika nchi mbali mbali za Asia, Ulaya, Afrika na Amerika. Wananchi wa nchi hizo wamemiminika mitaani kusherehekea mwaka mpya.